Habari za Mastaa

Ilivyozinduliwa Filamu mpya ya Gabo Mlimani City, vipi kuhusu Duma?

on

Usiku wa July 21, 2018 Mliman City Dar es salaam umefanyika uzinduzi wa movie mpya ya mwigizaji Gabo na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Bongo kama Yusuph Mlela, Mama Kanumba na wengine walioshiriki movie hiyo ambao ni Underground.

Mama Kanumba “Gabo amenialika akanigharamia kila kitu kufika hapa”

Soma na hizi

Tupia Comments