PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

PICHA & VIDEO: Harusi ya Charles Baba ilivyokuwa unaambiwa ‘mke tajiri’

on

Usiku wa December 15, 2018 mwimbaji wa muziki wa dance nchini Charles Baba alifanya sherehe ya ndoa aliyoifunga wiki iliyopita, Sherehe hiyo iliudhuriwa na baadhi ya mastaa akiwemo Alikiba na kundi lake la Kings Music.

Sasa AyoTV na millardayo.com zilikuepo kwenye sherehe hiyo na hapa zinakusogezea picha kisha chini nimekuwekea video mtu wangu usiache kuitazama kujionea matukio.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments