PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Casto kafunguka “Ndoa na Tunda” asema “Sijachanganyikiwa Tattoo sifuti” (+video)

on

Mtangazaji Casto Dickson amezungumza baada ya kuchora Tattoo ya mpenzi wake Tunda ambaye anaishi naye kwa sasa ambapo kasema kuwa amefanya hivyo kutokana na mapenzi aliyonayo na Tunda na si vinginevyo hivyo watu wasimfikirie vibaya.

Casto amesema kwamba hataifuta Tattoo hiyo hata kama wataachana na Tunda pengine watu wategemee ndoa yao kwani mpango wa kuachana haupo. Kuhusu ishu ya kumpa Mimba Tunda na suala la kula hotelini kila wakati Casto ameyajibu yote hapa kwenye hiii Video Bonyeza PLAY kutazama FULL VIDEO.

Penzi la Casto na Tunda lazidi kunawiri wamefikia hatua hii

Daah!! unaambiwa ni gari ya 1986 ila thamani haishuki siku hadi siku

Soma na hizi

Tupia Comments