Tangaza Hapa Ad

Mix

Hii ndio ajali nyingine tena ya leo iliyotokea Lindi.

on

BREAKINGTaarifa nyingine ya ajali ndani ya siku ya leo inatoka huko Linda na inaihusu ajali ambayo imetokea mchana Mitwelo mkoani Lindi na kuhusisha basi Al-hamdulilah linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Mtwara ambapo bado chanzo hakijajulikana.

Kamanda wa polisi atazungumza na millardayo.com muda mfupi ujao ili kutoa idadi ya majeruhu na vifo kwenye ajali hii.

IMG-20140120-WA0005

IMG-20140120-WA0004

Tupia Comments

Advertisement