Mix

Picha na taarifa za ajali ya basi la abiria 88.5 Morogoro.

on

1388581742264Naambiwa basi la Taqwa na Lori ndio vimehusika kwenye hii ajali Mikumi baada ya basi kujaribu kulipita lori ambapo kwenye hii ajali watatu wamefariki ambao ni Wanawake wawili na Mwanaume ni mmoja.
1388581761327

Tupia Comments