Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

List ya nyimbo 20 za CloudsFM Top 20 July 16, 2017 (+Videos)

on

July 16, 2017 kupitia Clouds FM imechezwa midundo 20 ya wiki ambayo kama ulikosa kuisikiliza kupitia Radio millardayo.com inakupa nafasi ya kufahamu ilivyokaa chart na kujua nani amepanda, nani ameshuka na lipi ingizo jipya kwenye chart.

Kwenye chart ya wiki hii kuna maingizo mapya mawili ambapo ni wimbo wa Stereo ft Richmavoko – Mpe Habari ukiwa umekamata nafasi ya 20, huku ingizo jipya jingine ni wimbo wa  Lulu Diva – Utamu ikiwa imekamata nafasi ya 16.

20 Stereo ft Richmavoko – Mpe Habari

19 Nedy Music – Dozee (Official Music Video)

18 Jux – Umenikamata 

17 Weusi – Naliamsha Dude

16 Lulu Diva – Utamu

15 Davido – If

14 Harmonize X Rich Mavoko – Show Me 

13 Chege & Temba ft. Emmy Wimbo – Go Down

12 Nandy – Wasikudanganye

11 Beka Flavour – Libebe

10 Ray C – Unanimaliza

09 Davido – Fall

08 ASLAY – ANGEKUONA 

06 Darassa – Hasara Roho

05 Luis Fonsi, Daddy Yankee – Despacito 

04 DJ Khaled – Wild Thoughts ft. Rihanna, Bryson Tiller

03 Bongo Bahati Mbaya – Young Dee

02 Saida Karoli – Orugambo

01 DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne

VIDEO: Nasty C ameingia Dar jioni hii, kawataja Rayvanny, Diamond, Nandy 

ULIPITWA? Hali ya aliyeimba ‘Nitarejea’ na Diamond, waliwahi kuwa mapenzini? 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement