Airtel TZ - Winky Music
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Home » Entertainment » Majibu ya maswali matatu yaliyotolewa na familia ya Marehemu Ngwea kuhusu chanzo cha kifo.

January Makamba - Tanzania Mpya

Majibu ya maswali matatu yaliyotolewa na familia ya Marehemu Ngwea kuhusu chanzo cha kifo.

rest in peaceJumamosi ya tarehe 16 November 2013 ilikua ni tarehe ya kukumbukwa Mangwea lakini pia siku hiyohiyo ndio ilikua 40 lakini kiu ya Watanzania ilikua kupata ripoti au chochote kuhusu chanzo cha kifo cha Ngwea kilichotokea May 28 2013.

millardayo.com ilipata nafasi ya kuongea na kaka mkubwa Keneth ambae ndio msemaji wa familia ili kupata undani wa kifo cha Ngwea.

DSC01429

millardayo.com: Mpaka sasa ripoti kutoka south Africa mmekwisha ipata?

Keneth: Aaaah hilo ni suala la kifamilia kwa hiyo  hatuko tayari kuliongelea kwa sasa.

millardayo.com: Lakini ripoti imeshapatika kutoka hospitali? na kama imeshapatikana ni hatua gani mmezichukua kama familia?

Keneth: hapana hilo nalo ni swala la kifamilia, yote hayo ni mambo ya kifamilia ambayo hatuko tayari kuyazungumzia kwa sasa mpaka tutakapoamua.

KENETH:Daah!,hiyooo,hiyo nayo hatuwezi kuiongelea saiv,sio wakati wake.

Albert Mangwea alifariki south africa alipokuwa ameenda kufanya show.

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top