PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

HEKAHEKA: Kijana mkorofi aliyemchoma kisu mwenzie Jichoni

on

Hekaheka ya leo January 18, 2018 imetokea Mbezi ya Kimara ambapo kijana anayesemekana kuwa mkorofi amekuwa akiiba Mbwa wa Jirani yake. Saivi inadaiwa ameenda kuiba viatu vya mtu mwingine na mwenye viatu alipomfuata alikiri na kusema twende nyumbani nikakupe viatu vyako lakini walivyofika akamchomolea kisu.

Mtoto huyo alitoa kisu mbele ya wazazi wake na hakutoa viatu waligombana kisha kijana aliyeibiwa akaondoka ndipo mtoto huyo akaendeleza fujo na kuamua kwenda nyumbani kwa aliyemuibia na kufanya vurugu ndipo wazazi wake huyo kijana wakaamua kwenda polisi lakini mtoto huyo akamchoma visu aliyemuibia sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo jichoni.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY..

HEKAHEKA: Mwendelezo Kichanga cha miezi miwili kilichopotea kimepatikana kiutata

Soma na hizi

Tupia Comments