Tangaza Hapa Ad

Amplifaya Top10

Zisikupite hizi stori kubwa 8 kutokea kwenye Amplifaya Dec 16, 2015

on

December 16, 2015 mkusanyiko wa stori kubwa kutokea kona mbalimbali za dunia zilikusanywa pamoja na kusikika kupitia Kipindi cha redio Amplifaya ya Clouds Fm, sasa basi kama zilikupita hii ni nafasi yako nyingine ya kipekee kuzipata hizi kubwa 8 hapa.

 #AmplifayaUPDATES:Rais Magufuli asema serikali itapata zaidi ya TRILIONI 1.3 kwenye mapato ya December hii hivyo elimu ya bure iko palepale.

#AmplifayaUPDATES:Watumishi wanne wa TAKUKURU wamesimamishwa kazi, ni baada ya kwenda nje ya Tanzania bila kibali cha Rais Magufuli.

#AmplifayaUPDATES:Waziri wa afya @UMwalimu leo amepiga marufuku biashara za chakula na matunda yaliyokatwa maeneo ya wazi.‪#‎Kipindupindu‬

#AmplifayaUPDATES:Mwimbaji Kidumu asema picha zilizosambaa akibatizwa ni za video, sio kweli kaokoka, anasema alishabatizwa siku nyingi tu.

#AmplifayaUPDATES: Waziri wa kilimo Mwigulu Nchemba atoa saa 48 kwa Sparkway LTD kulipa bilioni 3.4 za wakulima wa korosho Pwani.

#AmplifayaUPDATES:Wanawake mabilionea duniani wameongezeka na kufikia 145, mwaka 1995 walikua 22 tu, wa Asia ndio wanazidi kuongezeka.

#AmplifayaUPDATES:Wizara ya nishati imemkamata raia wa India KIA akisafirisha kwenda Hongkong vipande vya Tanzanite vya thamani ya M. 650

#AmplifayaUPDATES:Mkurugenzi halmashauri BABATI aliyehamishwa toka Kinondoni Mussa Natty amesimamishwa kazi, anachunguzwa dhidi ya tuhuma.

‪#‎AmplifayaUPDATES‬: Rais MAGUFULI ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa TAKUKURU Dk. Edward HOSEA, hajaridhishwa na mapambano ya rushwa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUB

Tupia Comments

Advertisement