Tangaza Hapa Ad

Amplifaya Top10

Zisikupite hizi stori kubwa 3 kutokea kwenye Amplifaya Dec 14, 2015

on

Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu, ni show ambayo ina namba 10 muhimu zinazomilikiwa na habari, yaani habari kumi kubwa za siku kutoka kwenye michezo, muziki, movies, fashion, siasa na stori nyingine ambapo host wake ni mtu wako wa nguvu Millard Ayo.

Sasa kama December 14, 2015 ulipitwi kuzifahamu hizi stori tatu kubwa basi ni nafasi yako nyingine ya kipekee kuzipata hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Tupia Comments

Advertisement