Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la Mzamiru lililoiweka Simba kileleni Mapinduzi Cup 2017 vs KVZ

on

Usiku wa January 3 2017 ulichezwa mchezo wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi 2017 kwa siku hiyo, mchezo wa mwisho wa Kombe la Mapinduzi kwa siku ya Jumanne ya January 3 ulikuwa unazikutanisha timu za Kundi A kati ya KVZ dhidi ya Simba, katika mchezo huo Simba walipata ushindi wa goli 1-0 goli likifungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 44.

VIDEO:ALL GOALS: Simba vs Taifa Jang’ombe Jan 1 2017, Full Time 2-1 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement