Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA: Mabeste ametuletea single yake mpya inaitwa ‘Kaa la Roho’

on

Rapper Mabeste leo December 22 2016 ameamua kuachia wimbo wake mpya aliyoupa jina la ‘Kaa la Roho’ Mabeste ameachia single hiyo iliyofanywa na producer B.Rapper katika studio za Good Boy Records, mtu wangu wa nguvu unaweza kusikiliza kwa kubonyeza HAPA.

ULIIKOSA HII YA SHILOLE NA MPENZI WAKE WALIVYOJIACHIA KWENYE BIRTHDAY PARTY BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement