Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Azam FC walivyopata ushindi vs Zimamoto Jan 2 2017, Full Time 1-0

on

Kikosi cha Azam FC January 2 2017 licha ya kutawaliwa na sura mpya katika kikosi cha kwanza wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na mchezaji wao chipukizi Shabaan Iddi dakika ya 79 ya mchezo muda mchache baada ya kuingia akitokea benchi.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement