Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Bocco kaeleza uzito wa mechi dhidi ya Taifa Jang’ombe


Jumanne ya January 10 2017 ni siku ambayo michezo ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2017 itachezwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar, kwa upande wa Azam FC wao watacheza dhidi ya Taifa Jang’ombe, kuelekea mchezo huo nahodha wa Azam FC John Bocco ameeleza walivyoupa uzito mchezo huo.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement