Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya URA vs KVZ January 1 2017 uwanja wa Amaan

on

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi timu ya URA ya Uganda Jumapili ya January 1 2017 ilishuka uwanjani kucheza dhidi ya KVZ katika mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2017, katika mchezo huo URA walipata ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Lapama Bogota dakika ya 57 na 90.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement