Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Alichokizungumza kocha wa Azam FC baada ya kudhibitiwa na vibonde wa Yanga


Usiku wa January 4 2017 Azam FC walicheza dhidi ya Jamhuri ya Pemba, timu ambayo imekuwa maarufu kama vibonde wa Yanga katika michuano ya Mapinduzi mwaka huu kutokana na kuruhusu kufungwa goli 6-0 na Yanga, leo Jamhuri walicheza dhidi ya Azam FC na kulazimisha sare ya kutofungana, baada ya mchezo kocha wa Azam FC Iddi Cheche alionge na waandishi wa habari.

VIDEO: GOAL & HIGHLIGHTS: Azam FC vs Zimamoto January 2 2017, Full Time 1-0 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement