Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Wanaume Arusha walivyotesa Wanawake waliokutana nao Instagram na Facebook

on

Siku hizi habari ya mjini ni mitandao ya kijamii, kila mmoja anapenda kuwa na simu nzuri ya mkononi na kujiunga na mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na Snapchat ili kujua kinachoendelea duniani lakini pia kukutana na watu wapya.

Kwenye mitandao hiyohiyo Wengine hukutana na kuwa Wapenzi bila kujuana vizuri, wanabadilishana namba za simu na wanakutana ambapo ndio kilichotokea Arusha na sasa Dawati la Jinsia Arusha limetoa takwimu za Wanawake waliopata mateso baada ya kukutana na Wanaume wenyewe.

Kuna matukio zaidi ya 13 ambayo yameripotiwa Arusha, Wanawake/Wasichana ndio wamekwenda Polisi kushitaki baada ya kutelekezwa na Wanaume waliokutana nao Instagram na mitandao mingine ya kijamii, unakuta Msichana anatoka nje ya Arusha kumfata Mwanaume

Unakuta binti hamjui vizuri huyo Mwanaume amekutana nae kwenye mitandao lakini anakuja Arusha wanafanya starehe zao za mapenzi hotelini na wengine wameishi kwa miezi 6 na kuendelea alafu baadae wanakorofishana binti anatelekezwa, anakosa pesa ya kurudi kwao kisha anakuja kuripoti kwetu

Play hapa chini kufahamu zaidi…

VIDEO: Tazama kwa picha za juu ujenzi wa barabara nne Arusha kwa mara ya kwanza, play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement