Premier Bet

Top Stories

Mabweni ya Ashira Sekondari Kilimanjaro yakiteketea kwa moto (+video)

on

Taarifa kutoka Kilimanjaro mchana huu zinasema moto umewaka kwenye mabweni ya Shule ya Sekondari ya Ashira ambapo Mkuu wa Mkoa Anna Mghwira amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Video iliyotufikia imeonyesha baadhi ya Wanafunzi wa kike wakilia na wengine wakipiga kelele za kuomba msaada ambapo Mtu aitwae Mr. Juma ametajwa kwenye video hiyo ikionekana wakati video hii inarekodiwa alikua ndani ya moja ya vyumba vinavyowaka moto, unaweza kutazama video hiyo fupi hapa chini wakati tukiendelea kufatilia zaidi

NANDY EXCLUSIVE: “RUGE ALINICHUMBIA, NDOA INGEFUNGWA MARCH 2019”

Soma na hizi

Tupia Comments