Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simbawalicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement