Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Wema Sepetu alivyocheza vigoma Tanga


Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kuzunguka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania na ngoma za vigoma ambapo pia anaitumia hiyo nafasi kutangaza bidhaa za ndala zenye jina lake pamoja na lipstick, ukitaka kuona ilivyokua unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.

ULIIKOSA HII YA KILIVYOHAPPEN KWENYE SHOW YA VIGOMA ESCAPE 1 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement