Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Aunt Ezekiel kuhusu ugomvi wake na Ex wa Mose Iyobo

on

Ni October 16, 2016 ambapo mwigizaji Aunt Ezekiel ameingia kwenye headlines baada ya kurushiana vijembe na Ex Mose Iyobo kupitia mitandao yao ya kijamii.

Sasa basi millardayo.com na Ayo TV ili mtafuta staa huyo na kuyaongea haya>>>>Tunabishana vitu ambavyo vinafanya mpaka mimi nimechukua uamuzi mkubwa wa kuandika vile katika mtandao wa kijamii naomba kusema asizungumze na mimi azungumze na mwanaume inakuwaje yeye anakimbilia kwenye mitandao kuhusu Iyobo tunagombana kisa mwanaume kwahiyo ninachoomba yeye kama mke mwenzangu aangalie njia sahihi’

Unaweza ukabonyeza Play kumsikiliza Aunt Ezekiel kuhusu ugomvi wake na EX Mose Iyobo

ULIIKOSA HII YA SALLAM KUHUSISHWA KUZIMA MIC YA ALIKIBA MOMBASA BASI ISIKILIZE HII SAUTI HAPA

Tupia Comments

Advertisement