Tangaza Hapa Ad

Stori Muhimu

Breaking News: Mtanzania Omary Clayton kashinda Tuzo ya heshima nchini Marekani…(+Pichaz)

on

Good News ikufikie popote pale ulipo, Leo Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika Afrika na dunia kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu Omary Clayton kuibuka na ushindi mnono katika shindano la Tuzo za California Viewers choice Award za nchini Marekani akiwa kama muigizaji bora wa kiume kutokea Afrika.

Clayton kapata ushindi huku pia filamu ya Dogo Masai aliyokuwa ameshiriki nayo imejipatia Tuzo.

Na hapa anaeleza furaha yake kupitia post aliyoiweke kwenye Instagram page yake >>>

“Daah!! Mpaka nimetokwa na machozi!! Na sijui niandike nini but kikubwa namshukuru sana mwenyezi mungu mwingi wa rehema!! HATIMAE TUZO IMEKUJA AFRICA!! WANDUGU NITAWASHUKURU NOW NASHINDWA HATA MANENO GANI NIANDIKE KUWASHUKURU???? NASUBIRI NITULIE HILI NIWASHUKURU VIZURI????????????????????????”

1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanzekupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments

Advertisement