Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AUDIO MPYA: Kutoka kwa Awilo Longomba na Yemi Alade, hii inaitwa ‘Rihanna’

on

Ukitaja jina la Awilo Longomba ni rahisi sana kueleweka unamuongelea mtu wa namna gani, kutokana na  umaarufu aliojipatia nje na ndani ya Africa tangu alipoanza muziki akiwa kama moja kati ya wakongwe wa muziki barani Afrika. Lakini pia Yemi Alade ni moja kati ya wasanii wa kike wanaoiwakilisha Afrika vyema kwenye soko la kimataifa.

Hapa wametuletea audio yao mpya ambayo ni Awilo ft Yemi Alade inaitwa ‘Rihanna’.

Unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza PLAY hapa chini>>>

Video: Naibu Waziri wa Afya kaweka baraka zake kwenye rangi za kucha za Flaviana Matata>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement