Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 3: Kama ulikupita ushindi wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simba walicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza.

img-20161229-wa0035

Matokeo hayo yameifanya Simba kufikisha jumla ya point 44 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara nyuma ya wapinzani wao Yanga waliyowazidi kwa tofauti ya point nne.
img-20161229-wa0036
Simba sasa anaenda kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar akiwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, Simba katika michuano hiyo ataanza kucheza dhidi ya Taifa Jang’ombe January 1 2017 katika uwanja wa Amaan Zanzibar.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement