Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameacha kazi

on

January 2 2016 kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ameachia nafasi hiyo, Mkwasa ameacha kazi ya kuifundisha Taifa Stars na sasa shirikisho la soka Tanzania TFF limethibitisha na kumtangaza mbadala wake.

Mkwasa alikuwa na mkataba wa kuifundisha Taifa Stars hadi March 2017 lakini ameachia nafasi hiyo na nafasi yake, TFF wamemteua Salum Mayanga kuwa kocha wa muda wa timu hiyo katika kipindi hiki ambacho kocha wa kudumu anatafutwa.

Mayanga atakuwa kocha wa muda wa timu hiyo na atahusika kuiandaa timu kwa ajili ya kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019 na michuano ya CHAN, Mkwasa alikuwa kocha wa Taifa Stars toka Julai 2015.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement