PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Steve ‘Muna karidhia kuna Baba wa mitandao, Peter ndo Baba halali’

on

Mchekeshaji Steve Nyerere amezungumza baada ya familia ya Peter kukaa na kukubaliana mahali msiba utakapofanyika ambapo kwa mujibu wa Steve Nyerere amesema kuwa Muna ameridhia msiba ufanyike nyumbani kwa Peter ambaye mwanzoni alisema kuwa yeye ndo baba mzazi wa mtoto huyo.

Pamoja na hilo Steve Nyerere aliuzwa kuhusu post ya Muna kusema kuwa Casto Dickson ndiye Baba wa Mtoto ambapo Steve kasema kuna baba wa mtandao na Baba halali, Peter ndiye Baba halali.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.

Steve Nyerere: “Kalala Junior simjui, tusitake umaarufu” kamati aliyopo

Soma na hizi

Tupia Comments