Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kutoka kwa AY, ikufikie hii hapa…

on

Nimekutana na ujumbe wako kutoka kwa Legend AY na nimeona sio mbaya kukufikishia. Sio siku nyingi tangu AY atangaze kuachia ngoma mpya na alitangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ataachia ngoma ambayo amefanya collabo na rapper Nyashinski kutoka Kenya. Alichoandika AY  leo Feb28 ni kwamba kesho ataachia wimbo mpya kupitia XXL ya CloudsFM hivyo ukae tayari.

Video: Alichokisema AY kuhusu meno yake ya Gold>>>

Soma na hizi

Tupia Comments