Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video: Alichokinunua Diamond Platnumz baada ya kumuona AY

on

Headlines za wasanii au mastaa kuweka meno ya Gold kama style zitakuwa sio kitu kipya kwako mtu wangu, kutoka Bongoflevani tumeshawahi kuwaona  baadhi ya wasanii wameweka meno ya Gold, Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, na AY ni miongoni mwa mastaa kutoka bongoflevani walionekana wameweka meno ya Gold

AY amekutana na Ayo TV na nakuelezea idea yake ya kuanza kuvaa meno ya Gold aliipata wapi lakini pia ametuelezea maneno aliyoyaongea Diamond Platnumz baada ya kumuona amevaa meno ya Goldscreen-shot-2016-09-15-at-4-43-25-am

Mimi nimeanza kuvaa haya meno ya Gold siku nyingi sana sema tu labda sijawahi kupiga nayo picha hata siku Diamond Platnumz aliponiona na haya meno aliniambia na mimi lazima nikanunue kama haya brother‘>>>AY

ULIMISS HII  YA LINNAH KUMPOST IDRIS NA MASHABIKI KU COMMENT VIBAYA HAYA NDIO MANENO YA LINNAH ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement