Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

Balaa la Alikiba kwenye stage ya Fiesta Dodoma


Msaani Alikiba alikuwa miongoni mwa wasanii waliotoa burudani usiku wa Nov 03, 2017 katika uwanja wa Jamuhuri Stadium Dodoma ambapo lilifanyika tamasha la burudani la msimu wa fiesta kwa Mwaka huu 2017.

Tazama hapa uone alichokifanya Alikiba.

Ulipitwa na hii? BAADA YA MIAKA 7: Alikiba hajaicha Mbeya salama FIESTA 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement