Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TOP 20: Midundo mikali mchanganyiko iliyosikika Clouds FM May 13, 2018

on

Takribani dakika 120 kila Jumapili kupitia Clouds FM ikiwa ni kuanzia saa 5:00 Asubuhi hadi saa 7:00 Mchana zinasikika nyimbo 20 kali za wiki kwenye Clouds FM Top 20 ambapo kama kawaida wiki hii chati imesimamiwa na Mtangazaji Mami Baby.

Kama ulizikosa dakika hizo leo May 13, 2018 kupitia Radio, tayari millardayo.com inayo full list na unaweza kuipitia hapa.

 

JOTI KAZUNGUMZA: Ni kweli Rais Magufuli kamsaidia nyumba yake isivunjwe.?

STAN BAKORA: “Baraka kaja mjini juzi, hawezi nizuia nisifanye kazi yangu”

Soma na hizi

Tupia Comments