Habari za Mastaa

Nikk Wa Pili kahoji ajali ya MV. Nyerere ‘Ni zoezi la kutafuta miili’

on

Kutokana  na tukio la kusikiktisha lililotokea September 20,2018 kwa kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere kilichokuwa kikitokea kisiwa cha Ukara na kuelekea Bugolora na kusababisha vifo vya watu 44 mpaka sasa.

Msanii kutokea kwenye kundi la WEUSI Nikk Wa Pili ameuliza swali kupitia ukurasa wake wa twitter na hii ni baada ya kusemekana kuwa uokoaji ulisisitishwa kutokana na giza kuingia, hivyo kulazimu uokoaji kuendelea tena alfajiri ya leo September 21,2018.

Nikk Wa Pili ameuliza kupitia twitter account yake kuwa “Nashindwa kuelewa linaloendelea leo bado ni zoezi la kuokoa au ni zoezi la kutafuta miili”

“WAMETOKA WATU HAI 37, MAITI 44” RC MWANZA MONGELA

Soma na hizi

Tupia Comments