Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Sio kila jambo ni siasa, sasa usikamatwe ukalalamika” –Dr Abbas

on

Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr Hassan Abbas amekutana na waandishi wa habari Dodoma kwa ajili ya kuzungumzia ripoti  ya IMF kuhusu hali ya kiuchumi Tanzania inayoonesha uchumi kuwa imara ambapo pia ametoa onyo kwa baadhi ya wanasiasa ambao wamekuwa wakipotosha jamii kuhusu hali ya kiuchumi ya nchi.

“CHADEMA waache kiki, wameanza kuchanganyikiwa” –Mbunge Munde

Soma na hizi

Tupia Comments