Biko Ad
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 10: Location iliyotumika kuandaa video ya Sauti Sol & Alikiba…..

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda stori za mastaa wao kila siku sasa leo October 7, 2016 nimekusogezea hizi picha 10 za location ya Hotel iliyopata umaarufu iitwayo English Point Marina iliyopo Mombasa Kenya ambayo imetumiwa kwenye maandalizi ya video ya Sauti Sol na Alikiba  Unconditionally Bae.

Kingine cha kukifahamu ni kwamba pia mkali kutoka Marekani Chris Brown atafikia katika hotel hii kwaajili ya mapumziko akisubiria usiku wa October 8, 2016 kutoa burudani ya nguvu katika Golf Club iliyopo Mombasa huku akisindikizwa na wakali akiwemo Wizkid kutoka Nigeria, Alikiba.

Zitazame hizi picha 10 za location iliyotumika utengenezaji wa video ya Sauti Sol na Alikiba

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

kk

Itazame hapa video ya Sauti Sol & Alikiba -Unconditionally Bae, kisha usishaitazama  video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIKOSA MACHACHE YAKUFAHAMU BAADA YA PJ KURUDI CLOUDS MEDIA GROUP BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments