Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Donald Trump amekua muujiza, nilipendelea Clinton ashinde’-Bashe

on

Wakati tukisubiria kuapishwa kwa Donald Trump kuwa ndiye Rais wa Marekani baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu watu mbalimbali wameendelea kuongea na kuandika maoni yao baada ya matokeo.

AyoTV imempata mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ambaye yeye ni miongoni mwa wanasiasa waliofatilia uchaguzi wa Marekani kwa karibu, tazama akitoa maoni yake kwenye hii video hapa chini.

MAONI YA BASHE KUHUSU MKATABA WA EPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement