Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kauli ya Neymar ukimuuliza kuhusu Ballon d’Or

on

Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil anayeichezea timu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar ni moja kati ya majina ya wachezaji wanaotabiriwa kuja kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or kwa miaka ya baadae.

Kama ulikuwa ni mmoja kati ya watu wanaofikiria kuwa Neymar anaiwazia sana na kufikiria kuhusu tuzo hiyo, ameamua kuweka wazi msimamo wake na anachofikiria kuhusiana na Ballon d’Or thelocal.es

“Kama nisiposhinda Ballon d’Or ni sawa tu mimi sichezi mpira ili nishinde Ballon d’Or, nacheza mpira ili nifurahi kwa sababu ni mchezo ninaoupenda, kiukweli ni moja kati ya malengo yangu kushinda tuzo hiyo lakini sitokufa ikitokea nimeikosa”

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement