Tangaza Hapa Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Baraka The Prince amemchukua Lord Eyez na kumuweka BANA

on

Na mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.

BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo Rapper Lord Eyes, ukibonyeza play hapa chini utakutana na full story

FULL INTERVIEW: Ommy Dimpoz kuhusu beef na Diamond na mengine

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement