Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO:Abdi Kassim kaeleza sababu za kuhamia timu pinzani

on

Mchezaji wa zamani wa Azam FC na Yanga Abdi Kassim Babi January 3 2016 aliichezea timu ya Jang’ombe Boys katika michuano ya Mapinduzi Cup 2017, ikiwa ni siku moja imepita toka ajiunge nayo akitokea timu pinzani na hiyo Taifa Jang’ombe.

Baada ya mchezo dhidi ya URA ya Uganda ambapo ulimalizika kwa Jang’ombe Boys kushinda kwa goli 2-1, Abdi Kassim aliongea na vyombo vya habari na kueleza ukweli kuwa kilichomuamisha Taifa Jang’ombe na kujiunga na Jang’ombe Boys ni maslahi na wala hakugoma kuichezea Taifa Jang’ombe mchezo wa kwanza wa Mapinduzi Cup.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement