Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

PICHA20: Ulipofikia upanuzi wa Barabara ya Rais Magufuli Mwanza.

on

Moja kati ya ahadi ya Rais Magufuli ni kuona Jiji la Mwanza linakuwa kwenye muonekano mzuri  wa miundombinu  na hakuna foleni ya magari kwa mtu anaetoka Mwanza kati kuelekea Airport ya Mwanza.

Agizo la Rais Magufuli tarehe 26 April 2016, ni pesa zaidi ya bilioni 2 zilizokuwa zitumike kwenye sherehe za muungano zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwanza – Airport kuanzia eneo la Ghana Quarter hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.

Ujenzi upo kwenye hatua nzuri na kuna sehemu magari yanapita kwenye barabara mpya Ghana hadi kona ya Bwiru na ujenzi umefikia eneo la Nyamanoro hadi Pasiansi Mwanza, millardayo.com imezipata picha za upanuzi wa barabara ulipofikia kwenye hayo maeneo.

dsc_0214

dsc_0195

eneo la Ghana Quarter

dsc_0200

dsc_0204

dsc_0212

dsc_0201

dsc_0234

dsc_0231

dsc_0237

hapa ni Nyamanoro

dsc_0230

dsc_0238

dsc_0241

dsc_0245

dsc_0224

dsc_0226

maeneo ya kona ya Bwiru

dsc_0244

dsc_0247

dsc_0255

eneo la Pasiansi kuelekea Airport

dsc_0249

UNGANA NA ALICE TUPA KWENYE UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA JANUARY 08,2017 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Tupia Comments

Advertisement