Tazama mabao ya mchezo kati ya FC Barcelona vs Almeria
March 3, 2014
Share
0 Min Read
SHARE
FC Barcelona baada ya kupoteza mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Real Sociedad jana usiku walirudi katika zama za ushindi baada ya kuifumua Almeria mabao 4 – 1