Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ule wizi wa Kizamani warudi tena

on

IMG-20140119-WA0002Kwa mwaka 2014 inawezekana ikawa ni tukio la kwanza kumtokea msanii aliyekua mshiriki kwenye tamthilia ya jumba la Dhahabu msanii Basupa kuhusu kuvamiwa kupigwa na kuporwa baadhi ya vitu vyake.

Miongoni mwa vitu walivyochukua ni pamoja na simu zake ambapo taarifa inasema kuwa ilikua usiku maeneo ya Mwanayamala Komakoma alipokua anaenda kununua chips wakati anarudi kwenye gari yake ndipo alipovamiwa na vijana hao.

IMG-20140119-WA0003Millardayo.com inaendelea kufatilia habari hizi ikiwa ni pamoja na kumsikiliza Basupa mwenyewe akielezea hili tukio.

Tupia Comments

Advertisement