PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Chimbo kali la bata Dodoma, Mavunde na Kibajaji walovyozamia usiku

on

Usiku ya August 17, 2018 Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde pamoja na Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde waliungana kwa pamoja katika ufunguzi wa Pub mpya ya kisasa mkoani Dodoma inayoitwa Pestana Pub iliyojengwa na kijana wa kitanzania Frank Mtei. Full video ya Mavunde na Kibajaji walivyoshiriki nimekuwekea hapa chini tayari…..

Naibu Waziri Mavunde kusafirisha maiti bure Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments