Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Pichaz za Bball Kitaa chini ya mataa Jan 10 2014 Dsm! @bballkitaa

on

bball9

Ni kweli kwa kipindi kirefu kwenye ardhi ya Tanzania tumezoea kwenda kwenye sehemu zilezile za starehe kama vile beach na bar lakini ni furaha yangu kwa sasa kuona vijana wa Kitanzania walioamua kutumia ubunifu wao kuleta kitu tofauti wanafanikiwa kwenye hii ya BBALL Kitaa.

Mkusanyiko hutokea mara kwa mara popote penye uwanja wa basketball, mechi inachezwa, msosi na vinywaji vinapatikana, marafiki mnakutana na wakati wote huu muziki unasindikiza, kingine kilichonivutia ni kwamba sasa hivi inakua kama ‘outing’ flani hivi yani uwanja upo ufukweni, ulinzi na usalama vinazingatiwa.

Sasa basi, zifuatazo ni picha za BBALL Kitaa chini ya mataa iliyofanyika kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2014  Januari 10 kwenye viwanja vya Gymkhana ambapo CBE na UDSM walikua wanakipiga.

CBE ndio wameshinda

bball11Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha jinsi Bball kitaa ilivyokua.

bball8Reuben Ndege, namfahamu kama mwanzilishi wa hii event ambayo siku hadi siku inazidi kuchukua zake headlines.

bball5

bball6

bball7

bball10

bball3

bball4

bball1

bball2

DSC_0267

DSC_0234

DSC_0225

DSC_0221

DSC_0219

DSC_0217

Tupia Comments

Advertisement