Tangaza Hapa Ad

Videos

Beazi.. Mtanzania mwingine nje ya Bongo anaekomaa na muziki

on

Jina lake ni Beazi, ni Mtanzania miongoni mwa Watanzania walio nje ya nchi na wanaendeleza harakati za muziki na leo millardayo.com inakukutanisha na moja ya vipisi vyake ambacho ni ‘liar liar‘ remix ambapo pamoja na kuwa nje ya bongo hajaacha kuweka Kiswahili kwenye mashairi yake.

Beazi anapatikana kwenye mitandao ya kijamii pia kupitia Twitter Instagram Facebook snapchat @iambeazi

VIDEO: Ulimis stori kubwa za Instagram na post nyingine nzito wiki hii? bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement