Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO & PICHA 12: David Beckham na familia yake wakiwa nchini Kenya

on

October 7, 2016 mtu wangu wa nguvu nakusogezea picha 12 zikumuonesha star wa soka duniani, David Beckham akiwa na familia yake nchini Kenya wakishiriki kampeni ya Beyond Zero inayosimamiwa na First Lady wa Kenya Margaret Kenyatta.

Picha zinamuonesha Mke wa Beckham, Victoria akiwa maeneo ya Kiambu siku ya Alhamisi akiongozana na mtoto wake wa kiume BrooklynVictoria Beckaham ambaye ni Balozi wa UNAIDS ametoa msaada wa Mobile Clinic na Gari moja ya kubeba wagonjwa.

be1

be2

be3

be4

be5-1024x683

victoria3

victoria4

victoria5

victoria6

victoria7

victoria8

victoria9

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement