Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Stori mpya kuhusu beef ya Rick Ross na Young Jeezy

on

Y1Najua kwenye headlines za hiphop miongoni mwa stori kubwa za beef ilikua ni hii ya Rick Ross na Young Jeezy lakini kwa sasa beef imeisha.

Rick Ross na Young Jeezy wamekua na Beef toka Jeezy alipotoa freestyle kuhusu ‘B.M.F’ ya Rick Ross August 2010 ambapo japo alikataa sio diss kwa Rozay, ilichukuliwa kama ni diss kutokana na haya maneno “How you blown money fast?/ You don’t know the crew/ Oh, you part of the fam?/ Sh*t, I never knew.”

Kwenye BET Hip-Hop Awards mwaka 2012 pia iliripotiwa wawili hawa kuleteana vagi backstage na kwenye parking mpaka polisi wakaingilia kati.

Beef lao limeisha sasa hivi na wanadondosha new single ya pamoja inaitwa “War Ready”

Screen Shot 2014-01-25 at 8.31.44 AMScreen Shot 2014-01-25 at 9.14.52 AM

Tupia Comments

Advertisement