Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Christian Bella ametuletea video mpya inaitwa ‘Ollah’

on

Mkali wa muziki wa Dance Tanzania Christian Bella anasema kwake yeye ngoma ya kufungulia mwaka ni hii ‘Hollah’ aliyomshirikisha Mkenya Khaligraph Jones, anakukaribisha kuitazama hapa na kisha kuacha comment yako umeipokeaje mtu wa nguvu

VIDEO: Tazama P Funk alivyowajibu wanaosema video ya mapenzi iliyosambaa ni ya Mtoto wake na Kajala, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement