Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

BET imetaja wasanii wanaowania tuzo za Hip Hop 2016

on

September 28, 2016 nimeipata Full List ya wasanii waliotajwa kuwania tuzo za BET Hip Hop Awards 2016. Tuzo hizi zimekuwa zikihusisha wasanii wanaofanya muziki wa Hip Hop, MaDJ, Waongozaji video bora, na wengine wengi. BET Awards ilianzishwa mwaka 2001 na kituoc cha TV cha Black Entertainment Television ili kuwapa heshima wasanii wa Kimarekani wenye asili ya Afrika 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement