Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

AUDIO: Wanasiasa 6 wa Tanzania wataja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016

on

Hakuna anaebisha kwamba kadri time inavyosogea ndio muziki wa Bongofleva unazidi kuwashika hata waliokua hawashikiki na ndio maana sasa hivi sio ajabu kumkuta mtu mzima anausikiliza.

AyoTV na millardayo.com zinakusogezea Wanasiasa 6 wa Tanzania wakitaja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016, bonyeza play hapa chini uwasikie wenyewe….

VIDEO: Ulikosa kuona Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Music Festival? tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Anachokumbuka Darassa sekunde chache kabla ya kupata ajali ya gari alilokua akiliendesha, kiko ukibonyeza play hapa chini utamsikia

Soma na hizi

Tupia Comments