Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli yote matatu ya Yanga vs Mbao FC October 30, Full Time 3-0

on

October 30 2016 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Dar es Salaam Young Africans walicheza mchezo wao wa 12 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mbao FC ya Mwanza, Yanga katika mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Uhuru walifanikiwa kuibuna ushindi wa goli 3-0, magoli yakifungwa na Vincent Bossou dakika ya 49 na Amissi Tambwe dakika ya 75 huku goli moja kipa wa Mbao akijifunga.

Video kwa hisani ya Azam TV

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement