DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Baraka The Prince na Alikiba kugusa headlines za Bongofleva…

on

Ni Sept 13, 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva utagusa headlines za burudani baada ya msanii Baraka The Prince kuachia single yake mpya aliyomshirikisha msanii Alikiba, wimbo umepewa jina la Nisamehe.

Tarehe hiyo imethibitishwa na Baraka The Prince kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter

ULIKOSA HAYA MAJIBU YA BARAKA THE PRINCE KWA WALIOSEMA AMESHINDA KUONGEA KINGEREZA BASI BONYEZA PLAY HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement